Nzegambwa dawa kiboko ya nguvu za kiume





Binadamu wamekuwa wakitumia virutubisho mbalimbali vya mitishamba kama dawa tangu kabla ya historia iliyorekodiwa.

Dawa hizi zilijengwa juu ya taarifa zilizokusanywa na babu zetu, ambao walitumia zikawaletea manufaa makubwa. Kwa hakika mimea hii iliweza kusaidia kutibu changamoto mbalimbali za kiafya na majeraha ya mwili.

Ingawa siku hizi dawa zimebadilika kwa wazi tangu siku za makabila ya wanadamu ya kuhamahama, hata hivyo tiba nyingi za jadi na virutubisho vya mitishamba bado vinatumiwa leo. Ni vigumu kushindwa kutumia dawa za asili za mitishamba, hasa kwa upande wa kuboresha nguvu za kiume, ati badala yake ukakimbilia dawa za HOSPITALI kama Viagra ambazo ni hatari sana kwa afya yako. 

Dawa hii nzegambwa inaimarisha mfumo wa kinga na kujenga mifupa na misuli.

Dawa hii pia inatumika kutibu changamoto za mbalimbali za kiafya zinazohusiana na ubongo, shida ya akili, kizunguzungu, na kupoteza kumbukumbu.

Nzegambwa ina uwezo wa kupanua mishipa ya damu, ambayo husaidia kuboresha mtiririko wa damu, hali ambayo hupelekea uume kusimama barabara.

Inaongeza uzalishwaji wa homoni za mapenzi na inaongeza viwango vya nitriki oksidi. Hii ni neurotransmitter ambayo husaidia mishipa ya damu kutanuka vyema, na kuongeza mtiririko wa damu katika mwili wote. Oksidi ya nitriki ni moja ya sehemu muhimu zaidi za mchakato wa kusimamisha uume.

KOSA WANALOFANYA WANAUME WENGI WANAPOPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME. SOMA HAPA...

Hata kwa wanawake ambao wakifanya mapenzi wanahisi maumivu, dawa hii ni nzuri sana kwao. Wakitumia kwa usahihi basi shida hiyo huisha kabisa.

Nzegambwa huongeza hamu ya kula, na kumaliza kabisa tatizo la kunyong'onyea kwa mifupa (osteoporosis).

Nzegambwa husaidia kuzuia misombo inayojulikana kubana mishipa ya damu na kupunguza mtiririko wa damu.

Kwa watu wanaotafuta njia mbadala za kutibu tatizo la nguvu za kiume, basi dawa nzegambwa ni dawa sahihi kwao.

Mabadiliko ya Mtindo wa Maisha

Njia bora ya kutibu tatizo la nguvu za kiume pia ni kubadilisha mtindo wa maisha. Ingawa kufanya mabadiliko machache ya mtindo wa maisha hakuna hakikisho la kuondoa tatizo la nguvu za kiume, lakini mabadiliko haya yanaweza kusaidia kupunguza hatari zinazohusiana na upungufu wa nguvu za kiume. Baadhi ya mabadiliko hayo ni pamoja na:

Kula chakula bora zaidi kwa kuongeza matunda na mboga mboga.

Punguza matumizi ya sodiamu na mafuta yaliyojaa ili kuboresha afya ya moyo na mishipa.

Fanya mazoezi zaidi ili kuboresha afya ya moyo. Dakika 30 za mazoezi kila siku zinaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa nguvu ya mfumo wa moyo na mishipa na mtiririko wa damu.

Dhibiti msongo wa mawazo
Tafuta njia zenye afya za kupunguza mafadhaiko na wasiwasi. Mfadhaiko wa mawazo, msongo na wasiwasi ni baadhi ya vitu vinavyochangia shida ya upungufu wa nguvu za kiume kisaikolojia.

Acha pombe na sigara
Acha kuvuta sigara na usinywe pombe kabisa, haina faida yoyote mwilini. Pombe na sigara ni sababu kubwa za hatari kwa kupungua nguvu za kiume, kwani huathiri mtiririko wa damu.

JINSI SIGARA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME. SOMA HAPA...

Pombe na sigara ni vitu ambavyo havina faida yoyote mwilini. HAKUNA mtu aliyekunywa pombe ana kuvuta sigara kisha akadai kapata faida fulani kutokana na vitu hivyo kiafya, au kiuchumi au kijamii, ila wengi wataishia kansa, upungufu wa nguvu za kiume, presha ya kupanda, kisukari, umasikini na kudharaulika katika jamii.

Pata usingizi wa kutosha 
Hakikisha unapata usingizi wa kutosha. Ukosefu wa usingizi unaweza kusababisha athari mbaya kwa afya ya kimwili na kisaikolojia. Kwa kuupa mwili na akili yako muda wa kutosha wa kupumzika na kurekebisha kila usiku, unaweza kupunguza uwezekano wa kupata tatizo la nguvu za kiume.

Nzegambwa ni dawa ya uhakika sana katika kumaliza changamoto ya nguvu za kiume. Inaleta hamu ya mapenzi, inasimamisha uume barabara unakuwa kama msumari, unazuia kufika haraka kileleni, ina kupa uwezo na nguvu ya kurudia mzunguko wa pili ndani ya muda mfupi. Kwa ushauri na matibabu wasiliana nasi kwa namba za simu 0766431675 au 0656620725




Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo na anatibu hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu ya uhakika siyo ya kubahatisha. Fika katika kliniki yake, Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC) iliyoko Kisesa jijini Mwanza, au ofisi nyingine ndogo iliyoko Busweru jijini Mwanza. Au wasiliana naye kwa namba za simu 0766431675 au 0656620725. Email: khamisiibra@gmail.com

Kwa wale walio nje ya Mwanza, wanatumiwa dawa popote walipo.

Usiendelee kuteseka na tatizo la nguvu za kiume. Fika Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC) kwa matibabu bora na ya UHAKIKA.
Nzegambwa dawa kiboko ya nguvu za kiume Nzegambwa dawa kiboko ya nguvu za kiume Reviewed by ZEPHANIA on November 17, 2022 Rating: 5
Powered by Blogger.