SUPERLIBIDO ni muungano wa dawa tano. Dawa hizi zinaenda kwenye chanzo cha tatizo la mgonjwa. Dawa hizi zinatibu tatizo la uume kusimama kwa uregevu. Usimamaji barabara wa uume unahitahitaji utendaji mzuri wa mishipa ya vena, mishipa ya ateri, misuli laini, moyo, mishipa ya neva, impulses katika ubongo, uti wa mgongo, mirija miwili iliyo ndani ya umme iitwayo corpora carvenosa. Vitu hivi vinaweza kudhurika kutokana na maradhi na tabia mbalimbali, na hivyo uume hushindwa kusimika barabara. Mgonjwa lazima tatizo lake lichunguzwe kwa umakini sana ijulikane shida iko wapi ili kujua ni dozi kiasi za SUPERLIBIDO atatakiwa kutumia za superlibido. Unapotumia dawa hii hufanya yafuatayo ndani ya mwili wako:
Zina viambato ambavyo huifanya misuli laini ya mwili kutanuka, na hivyo kusaidia uume kusimama kwa uimara. Na hutanua mishipa ya damu. Kusimama kwa uume ni matokeo ya kutanuka kwa misuli laini (smooth muscles), kutanuka kwa mishipa ya ateri na mishipa ya vena kuzuia damu kutoka. Kama misuli yako laini ina shida, na mishipa ya ateri na mishipa ya vena huwezi kusimamisha uume, na uume ukisimama unawahi kuregea. Dawa hii pia hutumika kutibu matatizo ya moyo, shida za kumbukumbu, presha ya kupanda, mapigo ya moyo kwenda haraka au bila mpangilio.
Huboresha mfumo wa uzalishaji homoni na kuinua utendaji wa hypothalumus na mfumo wa hisia zetu na tabia katika ubongo (limbic system) na ina msaada mkubwa katika kuzalisha homoni zinazohusika na uzazi wa mwanaume na nguvu. Hypothalamus, ambayo imekaa kwenye ubongo, hutema homoni. Kama tutagundua kuwa kiwango cha cha homoni ya testosteroni kimekuwa chini kutokana na matatizo ya korodoni, au tatizo la hypothalamus au pituitary basi dawa hii itakufaa sana. Maswali yetu tutakayokuhoji itaweza kutujulisha kama kuna shida ya homoni ya testosterone kutokana na tatizo la korododani au hypothalamus au pituitary.
KWA USHAURI NA MATIBABU WASILIANA NASI KWA SIMU 0766431675 AU 0656620725
Ndani ya dawa DEJA kuna mmea uitwao Cinnamomum cassia ambao kazi yake ni kutanua tishu za spongji (Corpora Carvenosa) zilizo ndani ya uume ili damu iingie na uume usimame barabara. Kama tishu hizi hazitanuki vizuri huwezi kusimamisha uume barabara kwa sababu damu ya kutosha aiingii vizuri ipasavyo.
Dawa hizi pia zina msaada mkubwa sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume kutokana na watu waliopungua nguvu za kiume kutokana na msongo wa mawazo.
UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO ZA NGUVU ZA KIUME HAPAKaribu Zephania Life Herbal Clinic ZLHC kwa matibabu ya uhakika ya nguvu za kiume. Tupo Mwanza, Kisesa na Busweru.
Reviewed by ZEPHANIA
on
November 14, 2022
Rating:


